MRADI WA MAJI BANGULO
27 Jul, 2025
Pakua

MRADI WA MAJI BANGULO
Mradi huu unahusisha Majimbo matano ya Uchaguzi ambayo ni Segerea, Ukonga, Temeke, ikiwa ni juhudi za Serikali kuboresha huduma ya upatikanaji wa majisafi kwa wakazi 450,000 wa Dar es Salaam ya Kusini.
MUDA WA MRADI
Mradi huu ulianza 7/1/2024 na kukamilika tarehe 31/1/2025, muda wa uangalizi (DLP) miezi 12
GHARAMA ZA MRADI
Gharama za mradi huu ni TZS 36,967,122,894.44
FAIDA ZA MRADI
Kusafirisha na kusambaza kiasi cha lita Milioni 23.3 kwa siku