NAMNA YA KUWASILISHA MALALAMIKO AU KUTOA TAARIFA DAWASA
04 Sep, 2025
Pakua
NAMNA YA KUWASILISHA MALALAMIKO AU KUTOA TAARIFA DAWASA
Ndugu Mteja, DAWASA inapokea na kushughulikia malalamiko kuhusu utoaji wa huduma. Mteja anaweza kuwasilisha malalamiko yako kwa kutumia njia zifuatazo;
1. Fika katika Ofisi ya Huduma kwa wateja (DAWASA)
2. Kuandika Barua pepe (info@dawasa.go.tz) au barua kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu.
3. Kupiga simu bure yenye nambari 0800110064.
4. Kuweka kwenye makundi mbalimbali ya WhatsApp yaliyoanzishwa na ofisi za DAWASA maeneo tofauti tofauti yakiwaunganisha Wateja wanaoishi katika eneo husika.
