Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
NDUGU MTEJA
09 Dec, 2024 Pakua
NDUGU MTEJA

NDUGU MTEJA

DAWASA imerahisisha Mawasiliano ndani ya eneo lake la kihuduma kwa uwepo wa group za Wateja (WhatsApp) katika ngazi ya Mtaa na Kata.

Ni rahisi tuma ujumbe mfupi wenye jina lako, eneo unaloishi na namba ya whatsapp kwenda namba 0735202121 (WhatsApp tu) ili kuungwa na kupata taarifa za mara kwa mara za Mamlaka.