Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
SALAMU ZA POLE
08 May, 2025 Pakua
SALAMU ZA POLE

SALAMU ZA POLE

Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inatoa salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Watanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Cleopa David Msuya kilichotokea tarehe 7.5.2025

DAWASA itaendelea kuenzi utumishi na uzalendo wake kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.