Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA KWA UMMA - USOMAJI MITA ZA MAJI DAR NA PWANI KUANZA JUNI 10 - 15, 2024
10 Jun, 2024 Pakua

TAARIFA KWA UMMA

USOMAJI MITA ZA MAJI DAR NA PWANI KUANZA JUNI 10-15, 2024

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawataarifu wateja na wananchi katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, kuwa zoezi la usomaji mita za maji utaanza Juni 10 hadi 15, 2024

Mamlaka inaomba ushirikiano kwa Wananchi pindi watoa huduma wa DAWASA watakapopita  kutekeleza zoezi hili.

Baada ya zoezi la usomaji mita kukamilika, Mteja atapokea ujumbe wa kuhakiki usomaji wa mita yake kabla ya bili kutumwa.

Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (Bure) au 
0735 202 121 (WhatsApp tu)

Imetolewa na 
Kitengo cha Mawasiliano