TAARIFA MUHIMU - KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KEKO, CHANG'OMBE, KARIAKOO, MJINI KATI NA KIGAMBONI
16 Dec, 2025
Pakua
TAARIFA MUHIMU
KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KEKO, CHANG'OMBE, KARIAKOO, MJINI KATI NA KIGAMBONI
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA KIGAMBONI tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji, maeneo yafuatayo yatapata huduma:
Keko, Chang'ombe, Mjini kati yote, Kariakoo na Kigamboni eneo lote.
Kumbuka kuwa na hifadhi ya kutosha ya vyombo vya Maji kipindi hiki cha upungufu
Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)
