TAARIFA MUHIMU - KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA SINZA, MANZESE, MABIBO NA KIGOGO
16 Dec, 2025
Pakua
TAARIFA MUHIMU
KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA SINZA, MANZESE, MABIBO NA KIGOGO
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji, maeneo yafuatayo yatapata huduma;
Sinza A, Sinza C, Mabibo, Kigogo, Mburahati, Kwa Jongo, Ubungo NHC, Shekilango, Urafiki, Manzese na Luhanga.
Kumbuka kuwa na hifadhi ya kutosha ya vyombo vya Maji kipindi hiki cha upungufu
Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)
