TUJENGE UTAMADUNI WA UHIFADHI NA MATUMIZI BORA YA MAJI
12 Dec, 2025
Pakua
Dondoo za Mkutano na Wahariri wa vyombo vya Habari, Dar es Salaam.
TUJENGE UTAMADUNI WA UHIFADHI NA MATUMIZI BORA YA MAJI
"Tunawasihi wananchi kujenga utamaduni wa matumizi bora ya maji na kuyahifadhi hususan katika kipindi hiki cha kiangazi na upungufu wa maji"
Mhandisi Mkama Bwire, Afisa Mtendaji Mkuu, DAWASA
