Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TUMECHUKUA HATUA ZA HARAKA KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA MAJI
12 Dec, 2025 Pakua
TUMECHUKUA HATUA ZA HARAKA KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA MAJI

Dondoo za Mkutano na Wahariri wa vyombo vya Habari, Dar es Salaam.

TUMECHUKUA HATUA ZA HARAKA KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA MAJI

"Katika kipindi hiki, tumechukua hatua ya kuurejesha Mto Ruvu katika njia yake ya asili ili kuimarisha uzalishaji pamoja na kufufua visima mbalimbali kwenye eneo la huduma na kuunganisha kwenye mtandao wa maji ya DAWASA ili kupunguza changamoto ya upungufu wa maji kwa wananchi" -

Mhandisi Mkama Bwire,Afisa Mtendaji Mkuu, DAWASA