TUNAKUTAKIA IJUMAA KAREEM
25 Sep, 2026
Pakua
TUNAKUTAKIA IJUMAA KAREEM
"Hakika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu, nyoyo hupata utulivu; basi tuijaze siku hii tukufu ya Ijumaa kwa dua, shukrani na kumtegemea Allah katika kila jambo."
(Qur'an 13:28)
