UZALISHAJI MAJI UMESHUKA KWA ZAIDI YA NUSU
12 Dec, 2025
Pakua
Dondoo muhimu wakati wa Mkutano na Wahariri wa vyombo vya Habari
UZALISHAJI MAJI UMESHUKA KWA ZAIDI YA NUSU
"Kwasasa uzalishaji wetu wa maji katika Mtambo wa Ruvu Chini umeshuka kwa kiwango cha chini ya nusu ya uzalishaji wa kawaida, umeshuka kutoka lita Milioni 270 kwa siku na sasahivi tunazalisha Lita Milioni 50 kwa siku" -
Mhandisi Mkama Bwire
Afisa Mtendaji Mkuu- DAWASA
