Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
Wakazi wa Dar tarehe 27 Novemba ongezeni ratiba ya Eng. Kundo kukagua huduma ya maji
26 Nov, 2026 Pakua
Wakazi wa Dar tarehe 27 Novemba ongezeni ratiba ya Eng. Kundo kukagua huduma ya maji

Wakazi wa Dar tarehe 27 Novemba ongezeni ratiba ya Eng. Kundo kukagua huduma ya maji

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew anatarajia kuanza ziara ya Kikazi Mkoani Dar es salaam kuanzia tarehe 27-30 Novemba, 2026. 

Katika ziara hiyo ya siku tatu, Mhe Mathew atakagua hali ya upatikanaji wa huduma na kutembelea miradi ya Majisafi na Usafi wa Mazingira inayoendelea ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.