WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA 2026
07 Oct, 2026
Pakua
WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA 2026
"Tunathamini ushirikiano wenu katika usimamizi wa huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira. DAWASA ipo kuwasikiliza, kuwahudumia ili kuboresha huduma kila siku. Asanteni kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari yetu."
Alex Meckford Mlay
Afisa Huduma kwa Wateja - Kisarawe
