Maadhimisho ya siku ya EWURA wakati wa Wiki ya Maji inayoendelea Jijini Dar es salaam.
20 Mar, 2023
11:00AM - 2:30PM
Dar es Salaam
info@dawasa.go.tz
Wananchi na wakazi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani wameendelea kujitokeza katika banda la DAWASA katika siku ya pili ya maadhimisho ya siku ya EWURA wakati wa Wiki ya Maji inayoendelea Jijini Dar es salaam.