MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2026
01 May, 2026
08:00AM - 10:00PM
Viwanja vya Mnazi Mmoja, Ilala
info@dawasa.go.tz
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) iliungana na Taasisi za Serikali na binafsi katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
