Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
MAONESHO YA WIKI YA MAZINGIRA 2026
03 Jun, 2026 08:00AM - 10:00PM
Viwanja vya Jakaya Kikwete, Dodoma
info@dawasa.go.tz

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Switbert Mkama, ametembelea banda la Wizara ya Maji pamoja na taasisi zake katika Maonesho ya Wiki ya Mazingira Duniani yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, ambapo amepongeza ubunifu unaotumika katika utunzaji wa mazingira na uhifadhi wa vyanzo vya Maji.

MAONESHO YA WIKI YA MAZINGIRA 2026