ZIARA YA WAZIRI MKUU KATIKA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
02 Jan, 2026
07:00AM - 10:00PM
Kidunda, Morogoro
info@dawasa.go.tz
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) (katikati) alipokuwa katika ziara ya kutembelea utekelezaji wa mradi wa kuhifadhi maji wa Bwawa la Kidunda unaosimamiwa na kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kupitia Mkandarasi wa kampuni ya Sinohydro kutoka China. Kushoto ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima.
