Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
ZIARA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI ZANZIBAR YACHOTA UJUZI DAWASA
19 Jan, 2026 07:00AM - 10:00PM
Kimbiji, Kigamboni
info@dawasa.go.tz

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire (Kulia) akitoa maelezo kwa Viongozi wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini Zanzibar kushoto walipotembelea DAWASA kwa lengo la kukifunza na kujionea hatua za utekelezaji wa miradi ya majisafi hususani uchimbaji wa visima virefu.

ZIARA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI ZANZIBAR YACHOTA UJUZI DAWASA