DAWASA KUIMARISHA HUDUMA YA MAJI MLANDIZI
22 May, 2025

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wakifanya maboresho ya miundombinu ya bomba la inchi 6 katika eneo la Mlandizi kwa lengo la kudhibiti upotevu wa maji katika Kata ya Mlandizi Mkoani Pwani.
Kazi hiyo inalenga kuongeza msukumo wa maji kwa Wananchi takribani 2,000 wa maeneo ya Hai Village, Janga, Miti mirefu, Disunyara, na Kwa msagasa