Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA MTAA KWA MTAA KAWE
27 Jun, 2024
DAWASA MTAA KWA MTAA KAWE

Zoezi la ufuatiliaji wa malipo ya huduma za maji kwa wateja wa madeni ya muda mrefu na muda mfupi ikiendelea katika mkoa wa kihuduma DAWASA Kawe.

Zoezi hili linaenda sambamba na kutoa elimu ya matumizi sahihi ya maji, ulinzi wa miundombinu ya maji, pamoja na umuhimu wa kulipa bili za maji kwa wakati sambamba  na kusitisha huduma kwa wateja wenye malimbikizo ya muda mrefu.

Mamlaka inaendela kuwasisitizia Wateja kulipa bili kwa wakati ili kuisaidia Mamlaka kuboresha zaidi huduma zake.