Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA YAUNGANA NA MHE. RAIS, DKT SAMIA KUPANDA MTI
28 Jan, 2026
DAWASA YAUNGANA NA MHE. RAIS, DKT SAMIA KUPANDA MTI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire ameshiriki zoezi la upandaji miti Mkoani Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,  Januari 27, 2026.