Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO YA HUDUMA MBURAHATI
10 Jun, 2024
MABORESHO YA HUDUMA MBURAHATI

Mafundi wa DAWASA Mkoa wa kihuduma Magomeni wakiendelea na kazi ya kudhibiti uvujaji wa maji katika bomba la inchi 6 katika eneo la Mburahati madoto kata ya Mburahati Wilaya ya Ubungo.

Kukamilika kwa kazi hiyo kutaimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya 1,500 waliopo katika maeneo ya Maziwa, kisiwani, barafu, kona bar, national housing, mburahati sekondari na Mzimuni.

Mamlaka inawahimiza wateja na wananchi wanapoona uvujaji kutoa taarifa kwa haraka kupitia namba 0800110064 (Bure) au 0735 202 121 (WhatsApp tu)