Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
TUZO
24 Jun, 2024
TUZO

Afisa Mawasiliano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Ndugu Nelson Shoo (wa pili kulia) akipokea tuzo kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Waziri baada ya Mamlaka kuibuka kinara katika utoaji wa taarifa kwa umma miongoni Mwa Mamlaka za Maji Nchini. 

Tuzo hii imetolewa na Mhe. Waziri Nape wakati wa kikao kazi cha Maafisa Habari Serikalini kilichokuwa  na kauli mbiu 
Jenga Mustakabali endelevu kwenye Sekta ya Habari katika zama za kidijiti.