Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
UDHIBITI UPOTEVU WA MAJI - TEMEKE
23 Feb, 2024
UDHIBITI UPOTEVU WA MAJI - TEMEKE

Kazi ya matengenezo kwenye valvu inchi 6 ikiendelea  kwa lengo la kudhibiti upotevu wa maji eneo la Rangi Tatu kata ya Mbagala, jirani na Kanisa Katoliki.

Kukamilika kwa matengenezo hayo kutaimarisha usambazaji wa huduma ya maji kwa wakazi takribani 350 wa eneo tajwa pamoja na kuboresha huduma katika Kanisa hilo.