Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UWASILISHAJI WA BAJETI YA WIZARA YA MAJI DODOMA
09 May, 2024
UWASILISHAJI WA BAJETI YA WIZARA YA MAJI DODOMA

Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) akisalimiana na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kabla ya kuanza kwa mawasilisho ya hotuba ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2024/2025 Bungeni Jijini Dodoma.