Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA KWA UMMA - MATENGENEZO YA BOMBA CHANGANYIKENI NA MAKONGO
17 Mar, 2025 Pakua

TAARIFA KWA UMMA

MATENGENEZO YA BOMBA CHANGANYIKENI NA MAKONGO

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi  wa  maeneo ya Changanyikeni na Makongo,  kutakuwa na ukosefu wa huduma ya Maji kwa muda wa Saa 15 kuanzia Saa 1 Asubuhi siku ya Jumamosi , Machi 15, 2025.

Sababu: Matengenezo ya bomba la usambazaji lenye ukubwa inch 8 eneo la Changanyikeni Jeshini.

Maeneo yatakayoathirika
Mtipesa, Kibululu, Ronda Mnalani, Kona Ajabu, Kingstone, Kwa Mongela, Shule ya Sekondari Makongo, Njia Panda Ronda, Kwa Njau, Barabara ya Mtaa wa Ng'ombe, Mtaa wa Atido, Downvialley , Kwa Diwani, Kwa Uombe na Serikali ya Mtaa Makongo Orlex,  Mambosasa, Mbezi Madukani, St. Columbus, Chongoro, Kanisa Katoriki, Kwa Mlaki, Saiberia na George Washington

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (bure) au 0735 202 121(WhatsApp tu)

Imetolewa na 
Kitengo cha Mawasiliano.