Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA KWA WAKAZI WA MKURANGA - MATENGENEZO YA YATAKAYOATHIRI UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI
16 Oct, 2026 Pakua

TAARIFA KWA WAKAZI WA MKURANGA

MATENGENEZO YA YATAKAYOATHIRI UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wa Mkuranga, Mkoa wa Pwani wanaohudumiwa kupitia tenki la Mkwaliakuwa kutakua na ukosefu wa huduma ya Maji kwa saa 48.

Muda: Ijumaa Oktoba 16, 2026 kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Jumapili Oktoba 18, 2026 Saa 12:00 Jioni.

Sababu: Kuruhusu ufungaji wa Pampu mpya katika chanzo cha maji cha Kulungu ili kuongeze ufanisi na kuboresha huduma.

Maeneo yatakayoathirika;

Kididimo, Magengeni, Serikali ya Kijiji, Kitumbo, Sunguvuni, Panone, Mikwambe, Ujenzi, Ngunguti, Miale, Buganyama, Kiguza, Terminal, Mwinyi, Mgawa, Sheli ya Njano, Together, Barabara ya Bupu, Kikungo na VETA.

DAWASA inawakumbusha Wananchi kuhifadhi Maji ya kutosha ili kukidhi mahitaji kipindi cha maboresho.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

Kwa maelezo tupigie; Kituo cha huduma kwa wateja 181 (bila malipo) na 0735 202 121 (WhatsApp tu).

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano